deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Habari wadau, mie ni mshabiki muziki wa reggae,huyu mwanamuziki sifahamu taarifa zake mwenye uelewa nazo anijuze tafadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ameuwawa muda mrefu ni miaka mitano sasaSenzo yu ngali bado hai isipokua kuna maradhi yalimpata mpaka kupelekea kusitisha shughuli zake za mziki.
Nadhani mwaka jana kama si mwaka juzi alifanyiwa mahojiano na mwandishi mmoja wa habari huko South Africa nami nikafanikiwa kuyatazama.
Hebu ingia YouTube andika neno Senzo ili na wewe upate kuona na kusikiliza kile alichoongea.
Mkuu huyu Senzo unaemuongelea hapa sio Artist jamaa aliyeuliza bali ni goolkeeper (Footballer) wa Bafanabafana,Senzo anayeongelewa ni yule mpiga vyombo wa Luck Dube na baadaye alijitenga na kuanzisha band yake mwenyewe,baadhi ya nyimbo zake maarufu ni WHO IS GONNA CARE FOR YOU & I, I'LL BE THERE,JAH GUIDE.Senzo amefariki muda mrefu na aliuwawa kwa kupigwa risasi na rafiki yake kipenzi aliyekuwa anampa drugs anaitwa LONGWE drugs zilikuwa zinamsaidia kupafomu muda mrefu.
Ugomvi ulianzia kwa mmoja wa rafiki yao anaitwa kelly dhidi ya Longwe kisa tu mwanamke sasa ikabidi aingilie Senzo na wakati huo alikuwepo mwanamke ambaye ni mama yake na kelly khumalo.
Longwe alimpiga risasi Senzo na baada ya kumpiga aliwatishia kelly na mama yake kuwa wakisema atawauwa nao.
Maneno ya mwisho aliyoyatamka senzo ulimwenguni ni "yini le oyenzayo mfethu" (What are you doing my brother)
Hapana ameuwawa muda mrefu ni miaka mitano sasa
Mkuu huyu Senzo unaemuongelea hapa sio Artist jamaa aliyeuliza bali ni goolkeeper (Footballer) wa Bafanabafana,Senzo anayeongelewa ni yule mpiga vyombo wa Luck Dube na baadaye alijitenga na kuanzisha band yake mwenyewe,baadhi ya nyimbo zake maarufu ni WHO IS GONNA CARE FOR YOU & I, I'LL BE THERE,JAH GUIDE.
Huyo Senzo unayemuongelea hajawagi kupiga "vyombo" kwa Dube!Mkuu huyu Senzo unaemuongelea hapa sio Artist jamaa aliyeuliza bali ni goolkeeper (Footballer) wa Bafanabafana,Senzo anayeongelewa ni yule mpiga vyombo wa Luck Dube na baadaye alijitenga na kuanzisha band yake mwenyewe,baadhi ya nyimbo zake maarufu ni WHO IS GONNA CARE FOR YOU & I, I'LL BE THERE,JAH GUIDE.
Senzo nayemuongelea ni mwanamuziki wa reggae na ni marehemu hivi sasaMkuu huyu Senzo unaemuongelea hapa sio Artist jamaa aliyeuliza bali ni goolkeeper (Footballer) wa Bafanabafana,Senzo anayeongelewa ni yule mpiga vyombo wa Luck Dube na baadaye alijitenga na kuanzisha band yake mwenyewe,baadhi ya nyimbo zake maarufu ni WHO IS GONNA CARE FOR YOU & I, I'LL BE THERE,JAH GUIDE.
Senzo hayuko duniani tena toka 2015.Senzo yuko hai na anawalaani sana sana mnaodai amekufa! Mfuatilie YouTube, Facebook na mwezi July mwaka kuu ana perform live huko south Africa.
Acheni kundekeza minong'ono! Senzo yuko hai hakuuliwa wala hakuua!
Unauhakika na hili bro? Manake utata mwingi sanaaSenzo hayuko duniani tena toka 2015.
Senzo hayuko duniani tena toka 2015.