Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu ni kuwa alipokosa ada ya shule ma baba wote hawakuonekana.Labda Dangote ni Baba yake, maana Diamond ana Baba wengi.
Swali la msingi ni je ana uhusiano gan na simbaWanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
Na umeusoma na umechangia pia!Duh Jamii forum bwana 🤣 eti kabisa huu tayari ni siredi
😂😂😂😃 jamaa jau sanawe kijamaa mbona mjinga hivi!?
Nyange na Nigeria, mbona ni kama mafuta na majiWanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?