Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

Ni mtoto wa salum nyange ambaye mdogo wake ni mlinzi wa kiwanda cha dangote cement.
 
Msifanaishe Aliko dangote ( ukoo ), na hao washenzi
 
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
Nyange na Nigeria, mbona ni kama mafuta na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…