The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
haaaaa, haaaaaaMwananchi ni mtu mwenye maisha ya chini na anayeongozwa na ccm
Du!Mwananchi ni shabiki wa yanga
Na hii lugha inatumiwa sana na maccm wasiotaka uwepo wa katiba bora.wamejificha hapo kwenye hicho kichaka kisicho na maana.Haina tofauti na ile awamu yakuita watu wanyonge kama unyonge ni sifa nzuri yakujivunia.Kibongo bongo mwananchi ni mnyonge au mtawaliwa , hajihusishi na siasa directly au Hana kazi serikalini , makundi kama wakulima, wafugaji , mama ntiliie , boda boda , machinga , na watu waliojiajiri , wafanya biashara , haya ndo makundi yanayotafsriwa Kwa haraka haraka kama wananchi .... But in reality kila raia ni mwananchi..!!
Yule anayepanga bidhaa barabarani ndiye mwananchi anayesikilizwa.Hili neno mwanachi limekuwa linanipa shida kidogo.
Tunaomba tusaidiane, vigezo vipi vinavyotumika kama sifa za kuwa mwananchi...
Haaaaaaaa, haaaaaaaaaYule anayepanga bidhaa barabarani ndiye mwananchi anayesikilizwa.
Wengine wote wasindikizaji tu.
Na mwanamume ni nani??Hili neno mwanachi limekuwa linanipa shida kidogo.
Tunaomba tusaidiane, vigezo vipi vinavyotumika kama sifa za kuwa mwananchi...
AsanteMwananchi ni mtu au mkusanyiko wa watu wenye umiliki asilia wa pande la ardhi linalotambulika kwenye jumuia ya kimataifa kama nchi. Mkusanyiko huo wenye itikadi na utamaduni unaofanana unaunganishwa na lugha moja inayowatambulisha kama taifa...