Hivi mwanaume asipotahiriwa anakuwa na tabia kitoto

Hivi mwanaume asipotahiriwa anakuwa na tabia kitoto

ikamama

Senior Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
198
Reaction score
127
Napenda kufahamu iwapo wanaume kutoka jamii ambazo hazina utaratibu wa kuwatahiri wanaume wengi wao wanakuwa waoga na kupenda kutumia vitisho katika kufanikisha matakwa yao katika jamii. Pengine tabia zao zinabakia kuwa hivyo kwa ajili ya kutopitia gazi mbalimbali za kupikwa kutambua maana ya kuwa mwanaume nini?
 
Back
Top Bottom