Hivi mwanaume unakeshaje na kushinda INSTAGRAM

Wabongo.ndo watu wanaoongoza kuumizwa na matatizo ya wenzao kuliko yao.
 
Wewe uliifuta ila wengine wanaitumia na inawaletea pesa nzuri kwa kutangaza biashara zao na kuunda wateja wapya daily

It depends on how smart you are
haya boss..
 
Instagram unapata updates ama taarifa ya kile ulichoki-follow, ukimfollow mange basi utapata updates ya post zake. Kila sehemu ina faida zake kulingana na matumizi ya mtu. Hivi unafikiri GT ni yule anaetumia JF tu! Huku kwenyewe watu wanaandika pumba za kufa mtu, bora hata anaeangalia makalio Instagram.
 
Arafu mbona watu munapenda kukariri maisha kwani kila muda ni wa pesa tu au nani kakwambia kwamba mtu aliyekuwa Instagram atafuti pesa wewe kama unatumikishwa mpaka upati muda ata wakuperuzi mitandao pambana na hari yako mbona kuna watu wachapakazi kibao tupo insta Ontario ni great thinker umu na mchapakazi lakini insta yupo, diamond pratnumz nk wengi wapo insta bill gate, Mac nakibao wewe nani usiyejulikana ata unapokaa apa duniani unajifanya uitaki insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…