my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mwanaume inabidi awe na ndevu zile zilizo panda hadi huku mashavuni halafu ziwe fupi sio zile zinazokua kwa kidevu tu. Mwanaume hata ukimkiss zile ndevu zikiwa zinachoma choma zinaleta raha fulani hivi.
Sasa unakuta mwanaume mwingine hana hata ndevu hata ukimkiss unahisi unamkiss mwanamke mwezio hata anakuwa asisimui. Wanaume wasiokuwa na ndevu saa nyingine unaweza kudhan ni katoto ka form one ukimshika mashavuni au kidevuni.
Mwanaume unakosaje ndevu?