Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Makalio kila mtu anayo sema makalio makubwa [emoji1]. Ndevu kitu gani hadi mbuzi anazo mwanaume ni pesa izo ndevu mnatutaftia sababu tu za kutuweka makundi makundi kama ilivyo kwa wenye pesa na wasio na pesa.
Pole sana bana
Mwanaume pamoja na pesa yako lazima uwe na haiba ya kiume....kwani unafikiri wanawake hatuna pesa?
Vindevu huwa vinavutia ushikweshikwe na mpenzi aburuze kidevu chake... Ina raha yake.