steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Natamani nijue hivi shirika la mwendokasi "dart" ndiyo linakaribia kufa..? Nauliza hivi kwakuwa magari yanazidi kuchoka na hayaletwi magari mbadala shirika linatoa huduma mbovu bora hata ya daradara unakuta mfano kituo cha gerezani utakuta mfano foreni ya watu wanaosubiri kwenda kimara ipo kubwa lakini unakuta magari yamepaki madereva wanapiga story
Kama magari ni mabovu kwanini wasitoe taarifa kwa abiria watafute usafiri mbadala?
Pia huu mfumo wao wa kadi za mwendokasi wanadai ununue kadi kwa 5000 kisha ndiyo uweke pesa kwanini wasitoe kadi bure alafu tukalipia nauli? Au kwann wasiweke bei ya kadi ikawa angalau tsh 1000 kama kadi tunazotumia kukata tiketi za kuangalia mpira? Ukiichukua kadi ya tsh 1000 ya kuingilia uwanjani kuangalia mpira ni bora kuliko kadi ya 5000 ya mwendokasi kwanini wasitoe kadi bure sisi tukajaza pesa?