Hivi mwezi huu biashara ya stationery huwa inaenda slow?

Hali ya biashara mzee, huwez pata kila siku, na huwezi kosa kila siku
 
Stationary uswahilini? Huko weka kibanda cha kuonesha movie na kuingiza video na muziki kwenye simu au flash.
 
BIASHARA YA STATIONARY KWASASA HAIWEZI KUFANYA VIZURI, KWASABABU KUANZIA MWISHONI MWA MWEZI WA7 NA MWANZONI MWA MWEZI WA 8 VYUO VIMEFUNGWA NA NI LIKIZO NDEFU WASTANI WA MIEZI 2 HADI 3 HIVYO KUA NA SUBIRA MPAKA VYUO VITAKAPOFUNGULIWA. WENZIO MAENEO MENGINE MIEZI HII HUWA WANAWAOMBA WENYE FREMU WAWAFANYIE WEPESI KIDOGO MAANA WATEJA HAKUNA MPAKA MWEZI WA 10.
KWASASA TAFUTA TU KASHUGHULI KENGINE TU KAKUJISHIKA KWA MUDA MAANA HATA HARUSI NA SEND OFF NI HIVYO HIVYO ZAIDI NI MWISHO WA MWAKA NDIO UTAPATA DILI LA CARD.
 
Ulitaka kua bilionea for one night tu.All the best
 
Naomba nitafutie kijana wa stationery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…