Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka.
Bwana jumbe kiumri ni mtu wa makamo, alikuwa anaigiza kama mwanaume player, kuna scene yake moja alinifurahisha, yani alifumaniwa chumbani na mwanamke, alikurupushwa ile ametoka nje kufika mtaani alivokutana na mdada njiani akaanza kumtongoza, ilhali alitoka kufumaniwa gesti dk 2 zilizopita.
Kuna tangazo lingine nlimwonaga huyo jamaa yuko ndani ya basi la abiria, silikumbuki vizuri Hilo tangazo.
Mwenye kujua habari zake za kisanaa sahiv, atujuze