ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Huwa najiuliza kipindi kile tunahoji utitiri wa tozo na makato kwenye mitandao ya simu inavosababisha maisha magumu Kwa Watanganyika
Mwigulu alitujibu tuhamie Burundi
Hii kidplomasia ipoje
Kwamba Burundi ndo Taifa la dampo ya watu masikini
Wa Burundi wanaonaje hili suala
Yaani waziri wa Taifa jirani kudharau Taifa huru lenye bendera na Rais wao, hii si dharau kubwa
Sawa Burundi tumewazidi maendeleo ila inatakiwa tuwape heshima kama na sisi wanaotuzidi uchumi wanavo tuheshimu
Mbona sijawahi kusikia raia wa Kenya, Egypt, Angola, USA n.k wakohojiwa na wananchi wao na waziri awajibu kama wana shida wahamie Tanzania