Hivi mzee wa madude leo hayupo?? Mbona hatuyaoni kuamka

Hivi mzee wa madude leo hayupo?? Mbona hatuyaoni kuamka

Yaani sio siri,wamenikera sana viongozi wa dini zote. Wamekaa kimya like nothing happened mamamae zao

unajua watz sasa hv tumekuwa wanafiki sana !na huu unafiki tunawarithisha watt wetu !hv ukute wanajifungia madhabahun huko wanagossip tu lakini kutoka hadharan km GWAJIMA hawana hizo guts ! jaman mie na nilivyoumbwa sinaga woga wala hofu !maniner zao sana hawa
 
Yaani sio siri,wamenikera sana viongozi wa dini zote. Wamekaa kimya like nothing happened mamamae zao
Lazima wakuudhi sababu wanategemea sadaka za wajinga kulisha matumbo yao,sio kama gwajima-ana waisanii njee!ama kanisa!
 
Back
Top Bottom