ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Aii,mie tena !!!! Naanzaje sasa ,natamani ubuyu tu.Vipi umejongea kanisani kwake.?
kumbe na wewe baby wangu unamwelewaga askof wanguyuko sahihi kabisa
Yaani sio siri,wamenikera sana viongozi wa dini zote. Wamekaa kimya like nothing happened mamamae zaoyuko sahihi kabisa
Yaani sio siri,wamenikera sana viongozi wa dini zote. Wamekaa kimya like nothing happened mamamae zao
Umetukana mkuu,ukatubu na wewe.Yaani sio siri,wamenikera sana viongozi wa dini zote. Wamekaa kimya like nothing happened mamamae zao
Lazima wakuudhi sababu wanategemea sadaka za wajinga kulisha matumbo yao,sio kama gwajima-ana waisanii njee!ama kanisa!Yaani sio siri,wamenikera sana viongozi wa dini zote. Wamekaa kimya like nothing happened mamamae zao