Hivi n Digital Product Gani Mbongo anaweza toa 10K kuinunua?

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Digital product ni vitu kama mziki, video, movie, games, documents au file lolote lile ambalo lina access Mtandaoni tu. Nataka nisakue watu 1000 wakununua Digital product ya 10k niingize hiyo 10M mfukoni [emoji23], wazungu mbona Hua wananunua kwa mbongo nitauza nn jamani ?
 
Movies.
 
Kibongo bongo ni ngumu aisee mtu kutoa 10k kununua Digital product. Movies, Vitabu na files za free internet (VPN) hizo ndo angalau mbongo anaweza nunua kwa Tsh. 500
 
Ngoja nikupe wazo kijana wa movies....

Anzisha youtube channel ya movie recaps, sema utakua unaongezea voiceover za kuchekesha na manjonjo kidogo kwa ajili ya fair use usipigwe copyright strike.

Nenda yt angalia channel za wazungu wanavofanya recaps na commentaries.

Anzisha telegram channel utakapokua unaweka hizo movie kwenye full length, nazo uwe umewekea voiceover....

Hiyo channel sasa ndo unaiwekea subscription paywall wawe wanalipia kiasi flani kwa mwezi, hapo sijui utafanyaje. Tumia yt channel kutangaza tg channel.

Bank.
 
Sitaki kitu chakunilambisha miaka [emoji23] nataka mafanikio ya haraka
 
Back
Top Bottom