GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Popote pale ulipo Uliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymail ( Raia wa Ubelgiji ) Hongera sana kwa Maono yako na Kuwaita Nyani, Mbwa na Sokwe.
Eti kwakuwa Tajiri ana Kijiofisi chake Ghorofani pale Salamander Posta nae akalazimisha Jengo liwemo katika Jezi na kama isingewekwa kuna Uwezekano Mishahara ya Wachezaji kwa Mwezi Wanachama wangetembezewa Bakuli ili Wachange na Wawalipe.
Kaeni tayari kwa Jezi za Chuo Kikuu cha Soka ( Mpira ) Tanzania Simba SC kuanzia Wiki ijayo na huenda Wengine mkajifunza ili mwakani msije tena na 'Jezi Kituko' zenu kama za Leo.