GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hao ndio wale misukule na vibwengo mliowajengea nyumba kwenye jezi sasa wamekuja live?Watu wanakesha huko kusubiria jezi ww endelea na porojo zako za kujitia moyo
Wewe ni moja wa misukule waliojengewa nyumba kwenye zile jezi?Safari hii ni kuwakarisha tu kuanzia Mataji mbaka jezi.
Mbumbumbu fc wao wanaendelea na jezi zao, wamebandua Kwa pasi Sport pesa wame weka Kwa gundi M Bet.
Nani alitegemea Simba wangekua na Hali mbaya kiasi iki!! maisha yanakwenda Kasi sana.
Wendawazimu wakisubiria Jezi Kituko.Watu wanakesha huko kusubiria jezi ww endelea na porojo zako za kujitia moyo
Wenye akili niwale wanaotumia jezi za zamani Kwa kubandua Sport pesa na kuweka M bet.[emoji2][emoji2]Wendawazimu wakisubiria Jezi Kituko.
Jezi mbaya ya Yanga inakuwasha wewe usio husika nayo kiherehere ni ugonjwa get well soonPopote pale ulipo Uliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymail ( Raia wa Ubelgiji ) Hongera sana kwa Maono yako na Kuwaita Nyani, Mbwa na Sokwe.
Eti kwakuwa Tajiri ana Kijiofisi chake Ghorofani pale Salamander Posta nae akalazimisha Jengo liwemo katika Jezi na kama isingewekwa kuna Uwezekano Mishahara ya Wachezaji kwa Mwezi Wanachama wangetembezewa Bakuli ili Wachange na Wawalipe.
Kaeni tayari kwa Jezi za Chuo Kikuu cha Soka ( Mpira ) Tanzania Simba SC kuanzia Wiki ijayo na huenda Wengine mkajifunza ili mwakani msije tena na 'Jezi Kituko' zenu kama za Leo.
Unateseka ukiwa wapi 😂Wendawazimu wakisubiria Jezi Kituko.
wezi hao hawana pa kulalaWatu wanakesha huko kusubiria jezi ww endelea na porojo zako za kujitia moyo
Idadi kubwa ya wanayanga ni majobless ni wazurulaji ndiyo maana wana muda wa kwenda kukesha na kushinda mabarabarani kushangilia ubingwa mpaka leo hii.Wendawazimu wakisubiria Jezi Kituko.
Ila kile kitendo kiukweli kimeonesha simba ni timu ya tia maji tia maji!Wenye akili niwale wanaotumia jezi za zamani Kwa kubandua Sport pesa na kuweka M bet.[emoji2][emoji2]
'mbaka' [emoji3][emoji3]Safari hii ni kuwakarisha tu kuanzia Mataji mbaka jezi.
Mbumbumbu fc wao wanaendelea na jezi zao, wamebandua Kwa pasi Sport pesa wame weka Kwa gundi M Bet.
Nani alitegemea Simba wangekua na Hali mbaya kiasi iki!! maisha yanakwenda Kasi sana.
Tutakutana August 13 na jezi zetu mbayaJezi mbaya kusema kweli mapicha kila sehemu kama mabatiki au vitenge majumba nyasi mabanda ya kuku vichaka baa ndondi rede tenis kwa mwaka huu vinyesi FC mmebugi tuseme kweli sasa lile sanamu la posta linafata nini katika jezi jamani
NakaziaSafari hii ni kuwakarisha tu kuanzia Mataji mbaka jezi.
Mbumbumbu fc wao wanaendelea na jezi zao, wamebandua Kwa pasi Sport pesa wame weka Kwa gundi M Bet.
Nani alitegemea Simba wangekua na Hali mbaya kiasi iki!! maisha yanakwenda Kasi sana.