Hivi na ninyi mna ndugu kama hawa?

Mjibu tuu ukweli,Ili na yeye akanunue au athaminishe,
Vitu vizuri unataka uwe navyo wewe pekeako?
Cha msingi pambana na malengo yako watu wa hivyo hawana madhara Mbona? Ukipambana nao utajikuta unafanana nao level!

Akikuiga badirisha kila mwaka ikiwezekana Mgawie na yeye,
Watu wa hivyo wanakupa challenge, uwe na hustle za kiuhakika,sio za kubahatisha!!!

Hii imenikumbusha kipindi kile mkipokea mitihani,washindani wako wanakuuliza umepata ngapi? Ukitaja marks za chini kuzidi yeye,anafurahi kimoyomoyo,japo mdomoni atajifake kumponda msahihishaji au mtunzi wa mtihani.

So binadamu haka karoho ka ushindani tumeumbiwa tu!

Kuhusu mkoa wanaotoka..sijui! Ila nadhani ni karibia mikoa yote kuna mtu za dizaini hiyo.
 
Wasukuma nipo nao huku kila nnachonunua lazima waulizie bei
 
Halafu kuna ndugu wengine wakija kwako lazima walale bila umuhimu wowote yaani just mpka alale tu. Yaani unajiuliza sasa temeke na tegeta wazo kuna umbali gani mpaka mtu alale..tena ni mjini magari yapo kwa SAA 24 lakini atatumia uzoefu wake wote mpaka alale...ndugu wacha kabisaa...
 

Jamani kwani kulala kwa ndugu ni tatizo?

Sioni ubaya mtu kaja ijumaa ikifika jumapili anaondoka, tujitahidi kupendana.
 
Jamani kwani kulala kwa ndugu ni tatizo?

Sioni ubaya mtu kaja ijumaa ikifika jumapili anaondoka, tujitahidi kupendana.
Hamna tatizo lolote ila kila ukija lazima ulale na unakuta mazingira siyo rafiki kiviiile hiyo haikubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…