Hivi na nyie mlikuwa kama hawa?

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Hii nimeikuta kule kwa wavuti.com. Mtoto wa kike hata kiss hataki. Hata hug hataki. Lakini mtoto wa kiume bado ni king'ang'anizi tuu. Haondoki. Anasukumwa, anaanguka lakini bado yupo tuu. Mtoto wa kike anashikilikia pale pale. Mtoto wa kiume anajaribu kupiga angalao push up mbili kumdhihirishai mtoto wa kike kuwa yupo fit lakini wapi. Hivi na nyie mlikuwa hivyo wakati mkiwa wadogo? Bado mpo hivyo hadi sasa?

[video=youtube_share;oLOq0fZvVWg]http://youtu.be/oLOq0fZvVWg[/video]
 
Looh huyo king'ang'anizi.....mimi ningemuita mbakaji.
 
Reactions: EMT
Looh huyo king'ang'anizi.....mimi ningemuita mbakaji.

Lakini si angalao ungekimbia?
Umeng'ang'ania kuwa pale tuu.
Mara sitaki nataka
 
mtoto king'ang'anizi huyo.mwanamme akitaka chake,kusukumwa kwake sio issue,hata machozi atakumwagia
 
Reactions: EMT
ha ha ha, kuna stori ntakupa ila kwa PM.
Umenikumbusha mbali sana EMT
 
Reactions: EMT
Hahahahahahah LOL! Aisee nimecheka sana 🙂🙂....nikawa napiga picha kama wote hawa wangekuwa ni watu wazima basi hii moja kwa moja ingekuwa ni sexual abuse...halafu kijana akawa anaweka mkwara kama wakutaka kupiga push up LOL!
 
Reactions: EMT
Hahahahahahah LOL! Aisee nimecheka sana 🙂🙂....nikawa napiga picha kama wote hawa wangekuwa ni watu wazima basi hii moja kwa moja ingekuwa ni sexual abuse...halafu kijana akawa anaweka mkwara kama wakutaka kupiga push up LOL!

Mkuu vipi na wewe enzi zako ulikuwa unawapigia push ups?
 
Reactions: BAK
Mkuu vipi na wewe enzi zako ulikuwa unawapigia push ups?


Hapana bana ila kuna mmoja alinisumbua sana LOL! mpaka nikakata tamaa lakini nikaendelea kumsumbua tu pamoja na kukata tamaa...(Tulikuwa majirani) siku moja akapita nikamuita akaja...nikamshika mkono nikamwambia naomba busu moja tu popote pale apendapo akalalama sana kwamba atachelewa kwao ataulizwa alikuwa wapi saa zote hizo na mimi naendelea tu kuomba busu moja...basi akasema niachie mkono nitakupiga busu...sasa kumbuka mimi niliomba busu moja tu popote pale hata mkononi LOL!...nikapigwa busu tatu kwenye mashavu yote na paji la uso...duh! nilipata raha sana siku ile....basi penzi likaanza rasmi tukawa kama kumbi kumbi...marafiki wa karibu walimuita limbwata hahahahahah lol!
 
Reactions: EMT
yaani hadi alinichania blauzi anataka kuhug, mie nikakimbia.

Ila nashangaa nilikuwa nakimbia sentimeta 10 tu.

Hahaaaaa. sentimita 10 tuu.
Ulikuwa na lako tuu.
 

Hahaaaa. Inaonekana aliona unamzingua na busu lako moja tuu wakati yeye alikuwa anataka matatu.
Ndo maana akawa analalamika kuwa ataulizwa alikuwa wapi saa zote hizo. lol.
 
Reactions: BAK
yaani kama nakuona

siku hiyo ulinawa uso kweli?

Inawezekana uliogopa mabusu yasifutike.

 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…