Hivi na nyie mlikuwa kama hawa?

yaani kama nakuona

siku hiyo ulinawa uso kweli?

Inawezekana uliogopa mabusu yasifutike.

...nadhani sikunawa Kongosho πŸ™‚πŸ™‚ maana binti alikuwa amekamilika kila sehemu πŸ™‚πŸ™‚

Last edited by a moderator:
kweli utoto una raha yake.

Yaani siku nilikuwa nikipata barua ya Zakayo, siifungui hadi muda wa kulala, kila neno nalirudia mara saba.

Zakayo kaleta mambo πŸ™‚....ukishamaliza kuisoma furaha tele na roho yako nyeupeee LOL! Kupendwa/kupenda raha sana.
 
ha ha ha, aliona namchosha akanipiga chini bana.

Yaani huyu Zakayo, nikienda kijijini naenda kumsaka kwa udi na uvumba.

Itabidi ukamtafute fasta umkumbushie.
Ila sidhani kama itakuwa tena nataka sitaki
Ni either way or the other.

haoni mie na BAK tunavyoungama, leo ni leo.

Ila mbona wee EMT huungami?

Mie nilikuwa shy kuwatongoza live.
So nilikuwa nawatwangia barua tuu.

Itabidi ukamtafute fasta umkumbushie.
Ila sidhani kama itakuwa tena nataka sitaki
Ni either way or the other.

Mie nilikuwa shy kuwatongoza live.
So nilikuwa nawatwangia barua tuu.

hahahahahah lol! watu wameamua kufunguka leo kwenye huu uzi duh! barua ya miaka 18 iliyopita...we mtunzaji mzuri sana....lakini hii inaelekea haikumfikia Natasha ndio maana unayo hadi hii leo πŸ™‚πŸ™‚
 
Reactions: EMT
ha ha ha, enzi hizo hakuna kuchakachua.

Ni kweli tupu, ukimaliza kuisoma naficha kwenye nguo lol

EMT, njoo ukonfesi all your sins.

Ngoja klorokwini, Asprin na Bishanga nao waje.

....lazima uifiche bana maana mama akiiona basi kesi imefika kwa Baba na hapo kibano chake utatamani ardhi ipasuke
 
he he he he, sasa hivi nikimkamata He will be finished.

Itabidi ukamtafute fasta umkumbushie.
Ila sidhani kama itakuwa tena nataka sitaki
Ni either way or the other.
He he he, Natasha mwenyewe naskia ndo Mwali.

Mbona 1994 juzi tu, huu ubabu anaokuupakazia Mwali umetoka wapi?

EMT said:
Mie nilikuwa shy kuwatongoza live.
So nilikuwa nawatwangia barua tuu.

Last edited by a moderator:
kesi za aina hii zilikuwa zikifikishwa kwa Baba inakuwa kama 'The Judgement Day'

ni heri kupelekwa kwa hakimu kuliko yule mzee lol

anaanza kuvibret kabla hata neno halijatoka, sitaki kumbuka.

Kuna mmoja alinaswa pale home, duh hadi leo anasimulia.
....lazima uifiche bana maana mama akiiona basi kesi imefika kwa Baba na hapo kibano chake utatamani ardhi ipasuke
 
Reactions: BAK
ha ha ha, enzi hizo hakuna kuchakachua.

Ni kweli tupu, ukimaliza kuisoma naficha kwenye nguo lol

EMT, njoo ukonfesi all your sins.

Ngoja klorokwini, Asprin na Bishanga nao waje.

Nishaisema hii kwenye uzi mwingine, I think.
Kuna mwalimu mmoja wa primary mpaka leo nina kisa nae.
Alitufuma kwenye kibambaza namtongoza mtoto wa watu.
Akanipa mie adhabu, akamwacha mtoto wa watu aende zake.
Kuanzia hapo ilibidi nibadilishe kiwanja cha kumtongozea. lol
BTW kwetu tayari kulikuwa na lami wakati huo

Duh! huyo Mwalimu alikuwa mnoko sana.
 
dah, yaani umenipatia hii picha.
Ila mie nilikuwa nakutana naye nikiwa natoka mashine ya kusaga unga.

Huyo Mwalimu mbaya sana, hajui baolojia ina nafasi yake?
 
dah, yaani umenipatia hii picha.
Ila mie nilikuwa nakutana naye nikiwa natoka mashine ya kusaga unga.

Huyo Mwalimu mbaya sana, hajui baolojia ina nafasi yake?

Njemba Zakayo ikikuona umeenda kusagisha tu basi inatega mtego wake kukusubiri sehemu sehemu πŸ™‚
 
hahahahahah lol! watu wameamua kufunguka leo kwenye huu uzi duh! barua ya miaka 18 iliyopita...we mtunzaji mzuri sana....lakini hii inaelekea haikumfikia Natasha ndio maana unayo hadi hii leo πŸ™‚πŸ™‚

Barua ilifika. Aliihifadhi tulipoachana akanirudhishia hiyo barua.
Alilalamika kuwa sikuwa mkweli kwenye maneno ya mwisho kabisa kwenye hiyo barua.
 
Reactions: BAK
afu siku moja akamtuma mdogo wake wa kike aniletee ujumbe wa tukutane mahali fulani.

Mdogo akaja vizuri, akaniulizia akaambiwa nimetoka, si akamwachia mama kile kibarua.

Imagine aibu nilopata, uzuri maza hakunisema kwa baba ningeuawa.

Njemba Zakayo ikikuona umeenda kusagisha tu basi inatega mtego wake kukusubiri sehemu sehemu πŸ™‚
 
Mambo ya Hollywood hayo. Usanii hadi watoto wa miezi 10. Most probably hawa Watoto wasanii walikuwa wakifokewa "directions" za nini wafanye at every stage, and in the backgound, lakini badala yake wameweka mziki mtamu kuwapumbaza Watazamaji.
 
afu siku moja akamtuma mdogo wake wa kike aniletee ujumbe wa tukutane mahali fulani.

Mdogo akaja vizuri, akaniulizia akaambiwa nimetoka, si akamwachia mama kile kibarua.

Imagine aibu nilopata, uzuri maza hakunisema kwa baba ningeuawa.

Maza alikuonea huruma maana alijua kile kibarua kingefikishwa kwa Dingi na kuyasoma yaliyomo katika kibarua kile basi hicho kibano chake hata yeye angejuta kwa nini aliamua kumfahamisha Dingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…