figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kila mtu ana uhuru wa kuwa na muonekano anaotaka kama hupendi wakataze watoto wako wa kike au kama na we ni KE usivae. Kuna wengine tunaona wakivaa hayo mawigi na kubandika kucha wanapendeza kama hupendi ni wewe mtazamo wakoSalaam Wakuu,
Kama unabandika kucha na kuvaa Mawigi, juwa watu wanakuona mjinga kibiriti ngoma.
Wanaokuambia umependeza wanakuinjoy tu.
Fake fake fake fekero.. Wavaa Mawigi mtakufa mumesimama. Kwanza hamuogi kichwa, mnaoga kuanzia shingoni kwenda chini.
Uchafu tu umewajaa
View attachment 1997189