Hivi nani comedian au mchekeshaji kati ya Trump and Zelensky

Hivi nani comedian au mchekeshaji kati ya Trump and Zelensky

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.

Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
 
Kumekuwa na maneno mengi sana eti zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.

Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Zelensky ni maskini Jeuri 🐒
 
Foreman : Kijana ni nani aliyekupa hii kazi, mbona jina lako silioni kwenye orodha?
FB_IMG_17409543839579756.jpg
 
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.

Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Uwezo gani wa kuuwa raia wake kwa tamaa zake binafsi
 
Foreman : Kijana ni nani aliyekupa hii kazi, mbona jina lako silioni k

Foreman : Kijana ni nani aliyekupa hii kazi, mbona jina lako silioni kwenye orodha?
Imenikuta hii.. Tena nikiwa nna degree kabisa fresh....
Acha tu , kujinyonga kupo jirani
.. nkaenda kufundisha shule ya sekondari binafsi, kucheki mshahara laki na nusu kwa mwezi,, Acha tu.. Na bado napigwa fimbo na ulimwengu
...usiwadharau wanaojidhuru
 
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.

Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Ccm ndio comedian wa kwanza ambao wote wanaochangia hapa
 
Trump ni mpumbavu sana..

Nationalist who will do anything to get what he wants even by harming others..

Jamaa i apologist wa Putin, pesa nying wanazotuma Ukrain zinarudi kujenga upya US, na Military industry zao...

Lakini unamlazimisha vip mtu aachane na vita ambayo hakuianzisha?

Putin ashachukua 20% ya ardhi ya Ukrain.. unaachaje ardhi yako kizembe hivyo.

Lakin Putin akishinda EU yote haitakuwa salama....

NATO itafanya kazi kubwa zaid kuliko inayofanyika sasa...

Huyo jamaa sio comedy ni kituko.
 
Mkuu Zelensky ana akili kubwa ambayo wengi hawana. Binafsi nampongeza japo trump aliamua kumvua utu wake. Zelensky amefanikiwa kumkata makali na speed Trump.
 
Trump mlazimishaji wa mambo, anapenda ubabe na analofikiria anataka lifanikiwe by any means. Anaamini hakuna taifa kama Marekani hata kama mengine yatachipuka na yote juu ya yote anapenda amani kwa faida ya Marekani. Business person as usual
 
Anatoa misaada kwa masimango
 
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.

Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Wewe tukupuuze ni uwezo gani aliouonyesha zelensk kutaka kujiunga nato au hauna jioya nawewe
 
Mkuu Zelensky ana akili kubwa ambayo wengi hawana. Binafsi nampongeza japo trump aliamua kumvua utu wake. Zelensky amefanikiwa kumkata makali na speed Trump.
Angekuwa na akili angeipinga NATO mwanzoni isimwingize kwenye vita ambavyo haina ubavu navyo.

Maridhiano na Russia ambayo anayatamani sasa hivi wakati 25% ya nchi yake imemegwa, angeyatafuta kabla ya vita. Akili au matope?

Walikuwa wanataka kumfundisha Urusi somo, matokeo yake wao ndio wamepewa somo - Ukreni, Marekani na NATO nzima wanamwogopa Putin kuliko kawaida.

Marekani imeamua kujikalia zake pembeni na kudai pesa zake za misaada kwa sababu mwomba mikopo Zelenskyy hajui analofanya.

Kumbuka pia kwamba Zelenskyy na genge lake na familia nzima wametajirika mno kutokana na hiyo pesa ya msaada.
 
Back
Top Bottom