britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna wanasheria kibao hawana ajira tutengeneze ajira kwanzaHawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,
Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida
Je kati ya hao wawili nani mkali sana?
Britannica
Huku tuna senior na junior.Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,
Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida
Je kati ya hao wawili nani mkali sana?
Britannica
Hakika sasa hapo nani mkaliHuku tuna senior na junior.
hayo mengine utayapata kwenye kupima wachezaji wa mpira na idadi ya magoli waliyofunga
AG anzisha uzi uzungumzie hiyo piaTuwalinganishe hao kwanza na AG halafu turudi huku.
Kwanini mkuuKIBATALA NOMA AISEEE HUYU TUNDU NI MWANASIASA SIYO MWANASHERIA AENDE HUKOOOO
senior na Junior.Hakika sasa hapo nani mkali
Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,
Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida
Je kati ya hao wawili nani mkali sana?
Britannica
AG anzisha uzi uzungumzie hiyo pia
Mkuu kwa heshima na taadhima bila shaka wewe ni layman...mbumbumbu wa sheria...Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,
Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida
Je kati ya hao wawili nani mkali sana?
Britannica
HahaHapa naona unaleta mambo ya Ronaldo v/s Messi. Kila mtu atasema kulingana na vionjo vyake. Itoshe tu kusema hao jamaa ni shida.