Hivi nani competent kati ya Tundu Lissu Vs Peter Kibatala?

usitukane watu usiowajua...mxiewww


Nimetukana wapi?

Wewe si kuna thread Fulani ulidai wewe ni msagaji yaani unafanya mapenzi na wanawake wenzako.

Ndiyo nauliza, ni kwann ukawa msagaji?
 
Nimetukana wapi?

Wewe si kuna thread Fulani ulidai wewe ni msagaji yaani unafanya mapenzi na wanawake wenzako.

Ndiyo nauliza, ni kwann ukawa msagaji?

mmmnhhh nakumbuka ile thread ulivyonitukana,usinifate fate,hamna thread niliyoleta kuhusu mimi kuwa msagaji,koma!
 
Kweli lisu kichwa,angeshirikishwa masuala ya serikali kuhusu mikataba asaidie,tungwkuwa mbali sana,hata mahakama za nje tulikostakiwa angeenda tuahinde
 
Naweza kupata hiyo nakala ya kesi uliokua unaelezea tafadhar
 
Mmmm mbona umeharibu tena maoni yako mazuri,kwn lissu hana madhaifu binafsi kisheria? Inaonekana wewe kuna kitu na kibatara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu badilisha headline competent sio neno sahihi kwenye kulinganisha hao wanasheria wawili.
 
Lissu amepigwa risasi zaidi ya 10 na bado yupo hai...kaishinda mahakama ya kifo..
Huyo kibatala akibondwa tu na jiwe moja ataweza kuwa hai kweli..
 
Kuna yule jamaa wa arusha anaitwa albert msando inaonekana naye yupo vizuri sana...
 
Kibatala yupo juu lakini yule jamaa ni mjanja Sana akiona kesi element za kushinda hazipo huwahajihusishi na hiyo kesi angalia mbowe tangu ameruka dhamana kibatala Kawa mpole Sana anajuwa fika mbowe aliharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LISU ni mwasheria aliye egemea siasa na uanaharakati Kibatala is purely practicing lawyer! KIBATALA , sheria is his business yuko juu sana ya Lisu
 
Wote wazur na nafasi zao kama messi na ronaldo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakili msomi tafadhali share uzoefu wako kwa mawakili hawa; Majura Magafu, Rugemeleza Nshala, Richard Rweyongeza, Alex Mgongolwa, Prof Shaidi na Dr Ringo Tenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…