Hivi nani competent kati ya Tundu Lissu Vs Peter Kibatala?

Very good objective analysis....

Mkuu Hata mimi nilishangaa sana mtu kama Tulia Ackson kushinda ile case ya mita 200...

Kibatala kapoteza kesi nyingi sana mfano ile ya Sugu Mbeya akapigwa miezi 5, kuna ile ya Lulu akapigwa miaka 2.......
 
Wajibu mkubwa wa mwanasheria akiwa kama ofisa wa mahakama,ni kuiongoza mahakama kufikia maamuzi sahihi, ima iwe kwa mteja kushinda kesi au kupoteza, mawakili hawaendi mahakamani kushindisha wateja wao, hivyo kupima ubora wa wakili kwa kipimo cha idadi ya kesi alizoshinda ni kinyume na maadili ya kazi ya uanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Data zao sina ila nakuunga mkono kwenye namba 2 na namba 4...Japo impact yake ni moja tu ana create Landmark cases kupitia akili aliyojaaliwa....na kusababisha hata new rules kutengenezwa.
Idadi ya kesi na Idadi ya wateja kuna challenge nyingi mfano Rushwa huwezi jua network ya Lawyer kushinda kesi nyingi...
 
Wanasheria wamegawanyika kuna mawakili, kuna mahakimu, kuna waendesha mashitaka, kuna watafiti, kuna intellectuals, kuna wahadhiri nk nk Kipimo chako ni cha mawakili siyo wanasheria kiujumla. Wakili anaweza asishinde kesi kwa sababu nyingi maana kesi siyo mbio au mpira, na waamuzi ni binadamu siyo malaika, Mandela alishindwa kesi miaka ya 1960 pamoja na kutoa hoja kali ila sheria iliyomfunga ikaja kuonekana haifai kabisaaaaa baada ya miaka 30 na ikafutwa
 
Hapa naona unaleta mambo ya Ronaldo v/s Messi. Kila mtu atasema kulingana na vionjo vyake. Itoshe tu kusema hao jamaa ni shida.
Hakika tulishindwa kupata majibu
 
KIBATALA NOMA AISEEE HUYU TUNDU NI MWANASIASA SIYO MWANASHERIA AENDE HUKOOOO
Kibatala ni mwanafunzi wa Lisu.

Japo mwalimu anaweza kuzidiwa


Lisu yuko juu tuache uchonganishi
 
Inategemea na eneo alilobobea, kujihusisha katika mashauri, sheria ya vitendo, n.k

Hii ni sawa na kuuliza kati ya baba yangu na baba yako nani baba mzuri?
 
Tundu yupo mbali sana tena mno Kibatala anauliza maswali ya hovyo hovyo tu mahakamani kesi anashindwa kila kukicha yaani hata hii ya sasa hatoboi na objection zake zisizo na mashiko.
 
Tuangalie rekodi zao za shuleni kuna mmoja alisoma vipaji maalum Ilboru huyo mwengine sijui....lakini ni ngumu kuwapima hawa jamaa sababu ni ma competent haswaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…