Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Umpate wa hivyo na awe wife material,, kuna watu mnaishi, happy birthday kipenzi chake DP
Huwa wanakuwaga wazuri kwenye sex ila upstair ni NO! Vilaza sana yani...Thats why tunaoa wanawake bright ila tunaflex na fun girls. Ikizungumziwa fun maana ni full package yani, anakuwa mtamu kinoma noma.
 
Mama J kaujaza moyo wako Haswa na umefurika Yeye tu, hongera kwake ila pole kwa mkeo pia.
Unaidhurumu nafsi yako bure oa huyo aliyemoyoni mwako, maana wife wako kulingana na maandiko yako kitandani performance yake iko chini sana.
Kuna maeneo anafanya vyema ndio maana alimuoa, hilo la kitandani ni exceptional. Tunanunua Toyota sababu ziko reliable ila gari za kufurahisha mioyo yetu ni za mjerumani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema maintanance yake ni kero.
 
Ukishaa muoa ndo utaona mabadiliko yake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee wa chem chem
Nikitoka hapo nna uhakika hili hata kama luna waya haliniunganishi...ila unakutana na mtu dk2 kitu kinatoa moshi, mnastop ili kuibua maji upya, mzuka ukipanda unajisahau, kesho ukicheki mzigo una malengelenge..hapo lazima uwe na wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…