Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Mama atoe offer ili aweze kufahamishwa kuwa sio kila kijana anategemea dust 😂😂😂! Atapelekewa moto hadi maji aite mma mwisho agawe vyeo vya kiserekali
Mambo kwa ground ni tofauti kabisa sie ndo tunakwambia huku hali ni mbaya kinoma, we fikiria mtu ananunua vibrator 😭😭unateseka hivyo na bado ukifa unachomwa moto😅, life is not fair
 
Mambo kwa ground ni tofauti kabisa sie ndo tunakwambia huku hali ni mbaya kinoma, we fikiria mtu ananunua vibrator 😭😭unateseka hivyo na bado ukifa unachomwa moto😅, life is not fair
Hahahahahah mambo magumu au sio
 
Nje ya yote,ndugu yetu kwa mama j ni mchepuko tu hata yeye anahitaji mwenza wake nje ya uchepuko[emoji28]

Atufanikishie wengine tukaone kama yaliyomo yamo.[emoji23]
Aaah wapi,
Hiki kibuyu nakilinda Kwa gharama yyt[emoji4]
 
Unaweza kuwa nae wewe na usiyaone aliyosema DeepPond kuna huyu kupenda roast, mwingine ya kuchoma mwingine supu lakini zote ni nyama sijui unanielewa
Aaah wapi,
Mwanamke fundi na mtamu hajifichi,
Ukiona mtu hajapenda labda kakerwa na tabia zake mbovu mbovu, hisia zinakata

Ila ukiachana na hisia za maudhi yake,
Huyu mwanamke anajua mapenz balaa.

Changamoto yake
anapenda pesa na maisha ya juu,
Kuna jamaa mmoja Ni mwalim niliwai kumuachia, mamaJ alimkera sana jamaa akamkimbia mwnyw[emoji4]
 
Kila mtu na taste yake kweli, ila most men tunarogwa na handling. Ukiacha physique wengi tunarogwa na romanticness
Yah! Hapa ndo uchawi ulipo
Wanawake wengi sana hawajui hili
Wanajua mapenz Ni kusema TU "nakupenda"
 
Physique inawavuta kutupia nyavu ila haiwatulizi km ukikutana tofaui na matarajio yako, kinachowalewesha ni hiki alichosema mtoa mada,, ukipata k ile upendayo haya demu awe na kengeza utatulia hapo hapo
That's true,
MamaJ kimwonekano Ni wa kawaida mno,

Ndo maana Kuna Mwamba mmoja humu alimuona physically akabaki kusema "kumbe ndo huyu, MamaJ is overrated"

Asijue uko ndani Ni full package[emoji4]
 
MamaJ tukikutana masaa 3 Nowdays Ni kitu Cha kawaida mno.

Kuna Watu humu niliwaambia wakasema Ni chai, hakuna mwanaume wa hivyo.
ila uhalisia uko hivyo ukimpata mwanamke anajua nn Cha kufanya 6×6.

Kwa wanawake wengine hata 30min inakua Changamoto, unajikuta ushirikiano mdg unamaliza haraka na Hamu ya kuendelea unakua hamna.

Unaoga ,unavaa unaondoka zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…