Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

ni kweli imagine umeenda dakika kadhaa anaanza kulalamika kachoka,au akishafika orgasm hataki tena hapo lazima mzuka upotee
 
Huyo dem wako ni kahaba wa kutupwa kama huamini fanya kama unasafiri halafu vizia utakuja kunishukuru baadae.
Sasa akiwa Malaya na Shea yangu ananipa tatizo liko wapi?
 
Kutokuwa na familia napo inaongeza hamu, mnaibana, unajua ni mchepukohivyo yuko huru kufatwa hii huongeza hamu kiaina kuliko unaeishi nae ndani na km sie wanawake ndo tukiwa na vichanga tunakuwaga bize na malezi kuliko hizo mambo,, mkeo akikuza mtoto mdogo akafikia darasa la tatu utarudi hapa kutusimulia kuwa ameongeza libido
 
Nlibahatika once mtoto kutoka kwa m7 tulikutana huko ughaibuni, alikua fundi balaa. Hizo point zote hapo kama wanafanana na mama j DeepPond
Ebanaa eeh,
uliienjoy Sana mkuu,
Ilkuaje Sasa hamko Tena pamoja?
 
Kutamani nje IPO Sana TU,
Tangu nmekua na mamaJ Kuna michepuko waliopita weng San Hapo katkat ila mamaJ wa still there.

Unamtaman mtu Ila ukifika 6×6 hakupi ile kitu unataka, akijichetua tu kukuacha hata huwazi. Unamjibu simple TU "POA"
Aiseeeh hongera sana
Sasa kwanini usimpandishe cheo?mke wa pili
 
Tafuta pesa, mwanamke yeyote anaweza/ataweza kukufanyia vyote hivyo na zaidi ambavyo hujawahi kufanyiwa.
Nishakutana na wengi,
Na bado nakutana na wengi,
Ila mamaJ Ni mwisho wa reli
Tunaachana ila bado tunarudiana
 
Hiii,hiii,hiiiii ila mwanangu deeppond umetengenezwa asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…