Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Ni maamuzi tu rafiki, uishi na mwanamke hata kulea tu watoto ni tatizo lakini K ina kila kitu unachotaka au ke ambaye ni average lakini ukiingia ndani ya nyumba unaridhika nafsi yako. Huoni mwamba anasema mamaj hafai kuwa mke!!
Sahii kabisa,
Linapokuja suala la MKE
Mwanaume lazima uchague kwa akili zaid kuliko hisia
 
Yani huyu Deep sio mzima kabisa yani karogwa na uchawi wa nywele zinachanganywa na za mchepuko zinapikwa supu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah wapi,
Mwanamke fundi yule,
Wachawi wanasingiziwa TU[emoji4]
 
[emoji1787][emoji1787]Yani usijidanganye hivo Deep usijidanganye kabisa kabisa.
Mambo ya mitandao bana yasikie tu
Hata nikikamatwa,
Kukiri kosa hiyo haipo
Ntaruka futi 100 huyo sio mimi
 
You have interchanges the numbers. We lazima ni 24!
Ha ha ha...waulize wanaonijua physically humu, watakwambia Rika langu Ni lipi[emoji4]
 
Hata nikikamatwa,
Kukiri kosa hiyo haipo
Ntaruka futi 100 huyo sio mimi
Alafu mtu mkimya mzuri sana anakutengenezea ushahidi hyo siku utashangaa makaratasi yote ya hizi post za kumtomber ma j zipo mlangoni kwa ma j muda umetoka kumtomber
 
Nilijifanyaga mama ushauri mpk tukakosana,, nikatafakari nikamuelewa tumuachie maisha yake,,

Demu wa kupigwa dk 180 hapatikani kirahisi hivyo eti
Yani huyo dem anajikaza tu unazani akisusa kutoa na akichoka mapema atakula wapi🤣🤣.
Bosi anuniwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…