GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, Wazee ( akina Baba ) wa zamani hapa JamiiForums hivi nanyi Enzi zenu hii tabia tuliyonayo Wanaume / Vijana wa Siku hizi ya Kuchafuana ( Kuuana kwa Mademu ) tunaowawinda 'Kuwangono' mlikuwa nayo au Wenzetu mlistaarabika zaidi?
Nimeshasema kuwa GENTAMYCINE sikatai Kumtongoza Demu wangu na akikubalia kwa Sumu zako Kali hata Kumngono ( Kumbandua ) pia ila sitaki / sipendi unamtokea Demu wangu unashindwa kuingiza vyema "Voko' zako kisha unaanza 'Kuniua' kuwa nina shipa na nimetoka kufanyiwa Oparesheni ya Tezi Dume Mwananyamala.
Mbona Mimi pale Sinde Baa Mbezi Beach ( Tangi Bovu ) nilimtokea kabisa Demu ambaye namjua Rafiki yangu Bujibuji Simba Nyamaume ama anamfukuzia au ameshambandua ila katika Kumtongoza Kwangu kote wala '"Sikumuua' na badala yake nilijikita tu katika kuingiza 'Voko' zangu akazielewa na Kunitengea 'Tamu' yake na tukamalizana kwa Amani na Furaha?
Hivi nyie Wanaume ( hasa Vijana ) wa Siku hizi mpoje? Yaani leo Mimi GENTAMYCINE ni wa 'Kuuliwa' kwa Demu ninayemfukuzia kuwa nina Shipa na nimetoka kufanyiwa Oparesheni ya Tezi Dume Mwananyamala Hospitali?
Wazee mlioko hapa JamiiForums tafadhalini nijuzeni je, nanyi Upuuzi na Utoto huu Kipindi chenu mlikuwa nao? Na je, Mpuuzi wa aina mnanichagulia GENTAMYCINE adhabu gani Kali nimpe ili ajue kuwa amenikera, ameniharibia na iwe Fundisho kwa Wengine?