Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Haya yalimtokea slaa, nna uhakika lissu hatakuwa mgombea wa chadema 2020! Subiri uone gia itayogeuzwaKwa hali halisi ilivyo, nadhani Lissu ndiye atakayekuwa mgombea wa urais kupitia tiketi ya chadema. Hiyo option ya kusaidiana ni nzuri kabisa!
Haya yalimtokea slaa, nna uhakika lissu hatakuwa mgombea wa chadema 2020! Subiri uone gia itayogeuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeni akiba ya maneno, mtakuja kumtukana lissu kama mlivyofanya kwa slaa
Magufuri na Lissu ni watu tofauti kabisa.Yes mkuu, lakin kwa haraka Lissu sioni kama ni presidential material,
Ni kama Magufuli wote wale wale Mara mia wampe Zitto
Ni kweli usemalo , Membe kwenda pale si lazima awe mgombea
Hawa watu siyo wa kuwaamini sana.Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,
Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,
Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,
FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA
2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,
3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA
4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,
5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,
6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,
7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,
Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA
Nawaza tu,
Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu
HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
Kwahiyo umeshaamini kwamba CHADEMA hawashindi ?'kwa.sentence yako ukiiangalia kwa.makinKama anaenda kubeba briefcase ya Lissu hapo ni sawa. Ila sio kugombea urais. Akitaka kugombea urais aende TLP au UDP, sio aje cdm kisha akipata kura ajifanye yeye ndio kazileta. Na kwa aina ya siasa za Magufuli usishangae aanze kusumbuliwa baada ya uchaguzi na kurudi kuunga juhudi. Cdm ishajifunza kutokana na makosa, na wakilogwa wakampa Membe ugombea tutawapa Makavu live.
Katibu mkuu naye ni maneno tuHawa watu siyo wa kuwaamini sana.
Tukumbuke,membe aliitwa na Katibu mkuu, hatujui kapigwa mkwara gani.
Lakini kwa hali ulivyo sasa,tusingae akapewa kuchagua, 1,kugombea ili
afe
2 au kuacha ili aishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu britacca, kwajinsi huyu ALIVYO na hofu na kutamani kuendelea,hawataruhusu membe kuhama.Katibu mkuu naye ni maneno tu
Kwahiyo umeshaamini kwamba CHADEMA hawashindi ?'kwa.sentence yako ukiiangalia kwa.makin
Sio lazima uone wewe nani ni presidential material mbona aliepo ni nyampara material na tunaenda?Yes mkuu, lakin kwa haraka Lissu sioni kama ni presidential material,
Ni kama Magufuli wote wale wale Mara mia wampe Zitto
Ataweza mikimiki au mna mpango wa kumpoteza mkuu?Kwa hali halisi ilivyo, nadhani Lissu ndiye atakayekuwa mgombea wa urais kupitia tiketi ya chadema. Hiyo option ya kusaidiana ni nzuri kabisa!
Lowassa, Membe, Slaa, Lipumba, Zitto, Mbatia na Maalim wote ni TISS na maji hata uyachemshe vp hayasahau asili.Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,
Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,
Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,
FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA
2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,
3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA
4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,
5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,
6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,
7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,
Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA
Nawaza tu,
Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu
HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
Huwezi tabiri hata kesho tu Chadema watafanya nini achilia mbali 2020! Matukio yao hayana probability distribution, linaweza likatokea jambo njiani tu na likawa kipaumbele chao, wewe na akili zako ukabaki unashagaaNaona CCM mmeanza tena ramli chonganishi!! This time Tundu Antipas Lissu anatosha hata JIWE analijua hili.