Uchaguzi 2020 Hivi nawaza ikatokea Membe akagombea kupitia CHADEMA 2020

Tunae Mwana wa Chadema halisi anakijua chama amekipigania sana si mwingine nae ni? Tundu Antipas mgwai lisu aka dikiteta uchwara anatoshaaaaa
 
We need a president who will restore law and order, Lissu is a perfect fit.
Law and order yako hiyo kwa sheria na katiba tuliyonayo ndiyo iliyokuwepo tangia Nyerere ikafeli, ufisadi na ujambazi kuota mizizi.

Mwizi, fisadi ama jambazi hamna popote alipoitwa kwa 'kiambishi' hicho kinachomstahili zaidi ya kuheshimiwa.
Hauruhusiwi kumuita jambazi ama fisadi hata kama kakamatwa na vielelezo, ataitwa mtuhumiwa tu.
Na hata akitiwa hatiani upepo unabadilika haitwi jambazi ni marufuku, ataitwa mfungwa.
Lakini sasa badala ya law & order tunatumia sera inayolingana na mazingira tuliyopo ni kukamata harakaharaka jambazi na fisadi tia kizuizini, hali inaelekea kuwa shwari na heshima ya nchi kurejea.
Sasa mnataka kuturejesha kwenye L& O zenu kwa ajili ya kulinda vikundi vya waharifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi tabiri hata kesho tu Chadema watafanya nini achilia mbali 2020! Matukio yao hayana probability distribution, linaweza likatokea jambo njiani tu na likawa kipaumbele chao, wewe na akili zako ukabaki unashagaa
Exactly
 
britanicca kwahiyo CHADEMA wao wamekuwa ni wala Mizoga tu ambayo huwa inaachwa na CCM nyakati za mwisho mwisho na pale wakikatwa Kugombea huko kisha Wao wanawatumia? Hata hivyo Membe hawezi na hatoweza kuwa ' threat ' kwa CCM kama ambavyo Mzee Lowassa mwaka 2015 alivyotufanya wana CCM wote muda mwingi Chupi zetu ziwe zinatupwelepweta tu huku tukionekana kama Wendawazimu na Usiku na mchana hatutali. Wewe Mzee Lowassa tusikufiche hata kama umerudi Nyumbani ila ama hakika ' Ulituhenyesha ' mno japo pia umetupa Funzo la Kutosha hivyo CCM hatutorudia tena Makosa.
 
Endelea kuwaza
 
Hilo haliwezekani tena, kitabu kimefungwa.
 
Different phenotype,but the same genotype ko Lissu na Magufuli are the same species

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa Sana
info zako huwa za UKWELI
umenifanya nifikirishe kichwa na kuwaza.

ikitokea Membe akaenda CDM
atakuwa na impact kubwa KULIKO Lowassa
Huu Ni UKWELI mchungu!

kwanza kabisa
-Membe Ni jasusi mbobezi
-Ex- chairman alikuwa upande/team Yake
-Ushawishi wa Membe ki mataifa na ukanda (southern zone)
-Kama ulivyosema,Ni Mara 1000 kumnadi Membe kuliko Lowassa
-International support

Endapo Akichanga karata mapema nafasi anayo
lakini, Tena ndiyo utakuwa uchaguzi Mgumu kuliko hata wa 2015!

Tukija upande wa pili CDM
Wamejifunza kutokana na Lowassa
itakuwa ngumu Sanaa kumkubali Membe ukifuatilia na title yake ya (Jasusi mbobezi)
Hiyo itamuweka matatani

lakini endapo akaenda CDM,atakuwa assets sana maana taarifa za jikoni za upande wa 2,atakuwa anazo


swali langu Hili.

je,akienda CDM
Wafuasi wake kina
Ridhiwani,JK etc
nao wataunga naye?!?!

vp ushawishi na uaminifu wake kwa watu ambao Ni team Yake akiwemo JK.
Watabaki na Sauti ndani ya chama?!?!

hahahaha camoooooooon
SIASA tamu sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho KABISA
Magufuli tunaye Hadi 2025+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeeleza vema sana, lakin kwenye siasa kila jambo linawezekana sana,

Kama anaona kwamba kuna uwezo wa kutikisa anaweza akajaribu,

Kwa sababu sioni Membe akiwa na nafasi ya kugombea ndani ya CCM hata mwaka 2025 kwaababu umri wake ,pili kuhusu msimamo wa Magufuli na aina ya CCM anavyotaka kuiacha
 
Halipingiki kwamba kwenye siasa kuna kuhama hama, na bahati mbaya zaid CHADEMA wao usubiria wanaotoka CCM Ndo wapewe bendera
 

Ni ngumu sana hilo kutokea mkuu.

Ukizingatia tena 'Membe ni Jk' hata JK na familia yake hawezi kumshauri Membe hilo.
Kwenye siasa kila jambo linawezekana sana
 
EL kwa vyovyote alimkimbia TL nyota imeng'ara kwa TL. japo fitina nyingi kwa mti wenye matunda ...
CHADEMA hawanaga msimamo, mfano hata nyota ya Slaa iling'ara ila akachinjiwa mbaalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…