Uchaguzi 2020 Hivi nawaza ikatokea Membe akagombea kupitia CHADEMA 2020

CHADEMA hawanaga msimamo, mfano hata nyota ya Slaa iling'ara ila akachinjiwa mbaalii

Wamejifunza sasa awawezipokea mapandikizi ambao yakishinda yatauza mechi kwa kukubali yaishe haraka kabla ya uchunguzi.Wanasapoti kubwa ya wananchi ccm imewapigia kampeni vya kutosha tokana na matendo iliyowafanyia watz kwa Miaka hii yote ni kampeni tosha,kwa wakulima wa korosho, mbaazi,Watumishi wa umma, wafanyabiashara, wawekezaji, waislam, Kanda ya kaskazini, wanafunzi, bukoba,wavuvi Kanda ya ziwa,waliofukuzwa Kazi,wasio na ajira,nk.
 
Anayeamua unajua ni nani?
 
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe. Kwa sasa Tanzania hayupo anayeweza kumchallenge Our beloved president JPM. Hata wewe unalijua hilo. Watanzania hawahitaji tena vibaraka wa wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MEMBE HAWEZI KWENDA CHADEMA TUNAMHITAJI KWA AJILI YA 2020 KUPEPERUSHA BENDERA.NAAM MEMBE FOR PRESDENTIAL 2020
 
Hili wazo lako Ni very terrible to be honest,ila sidhani kma inaweza jirudia Kama lowasa.labda awe mgombea mwenza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…