unaweza kubadili kozi. utabadili wakati wa kufanya registration.
ok asante mkuu, na je taarifa ya kubadili kozi kwa bodi ya mkopo utaipeleka mwenyewe au chuo husika?
kama umepata kusomea BA/SC EDUCATION inakua ngumu kubadilisha labda utoke kozi nyingne kwenda Education.But hiyo ni UDSM,sijajua vyuo vingne.