Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Hi JF
nina mke na kila siku kwa mke wangu napata mshindo mmoja (napiga bao moja)
katika hali hiyo naweza kufanya mazoezi ya viungo kama kukimbia, kunyanyua chuma na nk
Mkuu, mbona hiyo aina uhusiano na mazoezi.Hi JF
nina mke na kila siku kwa mke wangu napata mshindo mmoja (napiga bao moja)
katika hali hiyo naweza kufanya mazoezi ya viungo kama kukimbia, kunyanyua chuma na nk
PoaKwanini usiweze?!
Wewe tu...fanyisha mwili mazoezi huo.Mazoezi ni afya....
Sweetie ananyonyesha bwana ( Mtoto wa miezi saba)Kiwango chako ni cha chini sana.
Nitaanza mazoezi mapemaMkuu, mbona hiyo aina uhusiano na mazoezi.
Watu wanapiga mishindo minne mpaka mitano na mazoezi wanafanya kama kawaida