Wadau napenda kuuliza hivi nikifungua biashara ya huduma ya uwakala wa kutuma miamala na ofisi yangu ikawa na huduma hizi kwa makadirio ya chini naweza pata bei gani kwa mwezi?
Tigopesa
Mpesa
Halopesa
Airtel money
CRDB agent
NMB agent
Western union
Na zingine kama mbili ivi
Wataalam na wazoefu wa izi kazi Mnisaidie