Kuna levels za kusoma, kuna scholarships za aina mbalimbali.
Kupata kuna kutumia google, kuna watu au wadau, ndgu jamaa hasa walio ughaibuni etc. Pia kuna kuwasiliana na vyuo usika upande wa international admissions.
Tafuta orodha ya vyuo, vyuo vya umma na binafsi uanze kuangalia kozi unazo itaji ili iwe rahisi kuomba na kusoma vigezo
Kama ni kwenda ughaibuni basi tafuta hata vyuo vya dini uende ukapige gospal huku ukiwa na mikakati yako