Hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1?

nurdin24

New Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya NBAA
 
ndio wanatoa ni ngazi ya chini kabisa kwa wanaoanza kuitafuta CPA T kigezo cha kusoma ni form four
 
Back
Top Bottom