Hivi ndege inaweza kuwa ndio chombo cha usafir kilicho na engine yenye nguvu?

Hivi ndege inaweza kuwa ndio chombo cha usafir kilicho na engine yenye nguvu?

Meli ya Mizigo

Treni ya Mizigo

Ndo zinafuata hizo ndege.
 
Meli ndo chombo cha usafiri kikubwa kuliko vyote kwa sasa!!Hivyo ukubwa huo ni lazima iwe na injini yenye nguvu ili kuweza kusukuma huo mzigo!!
 
Back
Top Bottom