Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
pole sana zingekuma zina badilishana ninge kupa japo za tumboni kwangu kidogo zinanikera,
Pole sana hata mimi nimemaliza elimu yangu ya juu bila ndevu ba hapa nilipo sina na wala sina pressure maana najua zinakuja tu.....
Ndevu huanza kuota mtu anapoanza kubalehe lakini wengine huota ndevu hata baada ya miaka 25 hivi pia inategemea na ulivyorithi.
Hapo ndo hazioti tena nakumbuka mimi zilianza kutoka nikiwa na miaka 17 sasa hivi nazinyoa style yoyote niitakayo vp zivu unalo au?
Masharubu unayo?
Dah! kaka kweli kwenye miti hakuna wahunzi...jinsi ninavyotaabika na hizi ndevu kila siku asubuhi lazima nizinyoe imekua ni sehemu ya maisha kama vile kupiga mswaki. ingewezekana kubadirishana ningekupatia aisee.
Usihadaike ukubwa,ona ng'ombe mkubwa hana ndefu ila beberu la mbuzi dogo lina ndevu.
Ndevu ni shani tu toka kwa muumba.
ngojea MziziMkavu aje alekeze dawa ya kuota ndevu...