Hivi ndio ndoa zilivyo?

Nampenda sana sana wife na c kila jambo huwa nampinga ila uhuru wa ndoa c kuridhishana hata mamb yasiyo na tija man..... kwenye ukwel inabidi tuelezane hata kama c wakufurahishana
 
Nampenda sana sana wife na c kila jambo huwa nampinga ila uhuru wa ndoa c kuridhishana hata mamb yasiyo na tija man..... kwenye ukwel inabidi tuelezane hata kama c wakufurahishana

...definately right. Huyo ni mkeo, na hiyo ni ndoa yako. Ushauri wangu ume base kwenye experiences zangu.
Nimechangia maoni yangu kwa kadri ya uelewa wangu (nilivyokusoma😉

...wish you the best outcome on this bro.
 

nuna na wewe
 
Bwana mzee issue si kumchunga ila wakati wote lazima uwe suspicious,km kuna jambo baya laja ulitatue mapema.Huyo ni MY WIFE WAKO WA KUFA NA KUZIKANA.Maendl kila mtu anataka lakin si kwa kukurupuka na proposals zisizo someka.Pole lkn tuliza bongo.
 

Mkeo na mywife wangu sawasawa hivyo wanajf wanavyokushauri na mimi napata. Ila mimi pia huwa nanuna ila siku nikiwa na hamu naye kwa ajili ya kummega nalainiiika hadi anipe na baada ya hapo tena nanuna, basi ndo maisha yetu.
 
Mkeo na mywife wangu sawasawa hivyo wanajf wanavyokushauri na mimi napata. Ila mimi pia huwa nanuna ila siku nikiwa na hamu naye kwa ajili ya kummega nalainiiika hadi anipe na baada ya hapo tena nanuna, basi ndo maisha yetu.

mwanaume hanuni wewe mwanaume anauchuna....lugha yako nayo ovyo tu ndio mana unanuana nuna...unaweza kusema unamfanyie hivyo mkeo?...uwe na adabu kidogo.
 
Manuu. wakati mwingine inabidi utumie gia kubwa kuendesha ndoa kama mwanaume. Ashakuona Bushoke, ndo maana anakununia. Ila kama mwanaume, inabidi umzibiti mkeo. Kwa mfano akinuna, mwambie wazi kuwa 'kwa kuwa tumetofautiana maoni ndio maana umenuna? Ok fine, usiniombe ushauri tena...'. Then Na wewe mchunie, ukitoka job tafuta hata shughuli ya kufanya nje ya nyumbani, na urudu late fulani hivi. Jifanye unampotezea, ila unaongea nae kama 'mfanyakazi mwenzio', yaani hakuna cha hny, wala kubembeleza. Nakwambia ndani ya siku tatu utakoma, na hatarudia tena...
 
hilo si la kubembeleza, atazoea uyo, ni vema ukakaa na mkeo na kumuonya tabia yake ya kununa.
na wala usimpe ruhusa ya kwenda kuchukua mkopo kwa hasira, zungumzeni na kuelewana .
 
Nimejaribu kumchunia hadi sasa nahisi kama vile naanza kumchukia

Usifanye hivyo utaanza kupoteza ile thamani ya upendo uliyokuwa nayo
Ulishamzoesha kumbembeleza endelea ndio raha yake ilipo
 
Mkeo na mywife wangu sawasawa hivyo wanajf wanavyokushauri na mimi napata. Ila mimi pia huwa nanuna ila siku nikiwa na hamu naye kwa ajili ya kummega nalainiiika hadi anipe na baada ya hapo tena nanuna, basi ndo maisha yetu.

Hehehe jf bana mtu utacheka hata kama hutaki mwe! mbavu zangu.

Mtoa mada zungumza na mkeo na umueleze ukweli tabia yake ya kununa itamsababishia matatizo mbeleni. Kuna mkaka alinichekesha kwamba akikwambia kitu ukinuna utajuta, kama alichelewa kurudi ukanuna basi ndio unakua umemtuma. anaanza kuwa anarudi asubuhi kabisa mpaka akili ikukae sawa, huyo mkeo ana bahati kuna watu wamepinda. Wadada tujifunze kupitia thread kama hizi wapendwa
 
Sioni kwa nini anune kwa wewe kumzuia kuchukua mkopo ofisini. Jaribu kuchunguza taratibu, I am trying to think outside the box. Inawezekana kuna libosi linamtaka na lina mapesa. Sasa anaogopa akionekana ana mapesa utamuuliza kayatoa wapi.

Kwa nini anang'ang'ania kuchukua mkopo kwa vitu ambavyo mnaweza kuvinunua bila hata kuchukua mkopo? Au huko ofisini kwao kuchukua mkopo ni fasheni?
 

Well said. Nachukia sana kununiwa! Yaani huwa inanikera sana!
 
Mimi nadhani katika maisha ya ndoa hakuna changu wala chako bali CHETU. Ushauri uliompa mkeo ni mzuri kwa maendeleo ya familia yenu. Nadhani jaribu kuongea naye taratibu na kumjulisha kuwa wewe ndio mshauri wake wa karibu katika mipango yote inayohusu familia yenu. Anapaswa akusikilize kwani kununa sio suluhisho la matatizo.
 
Pole Manuu!Jambo la muhimu kumbuka katika ndoa,mwanaume ndiyo kichwa cha ndoa ni wajibu wako kuipa ndoa yako mwelekeo!Neno la Mungu lasema..."kadhalika ninyi WAUME,kaeni na WAKE zenu kwa akili;na kumpa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu...1Petro 3:7
Akili inahitaji kufundishwa,kuelekezwa,kueleweshwa na ni kazi yako wewe mume,kwa njia yeyote ile kumwelekeza mkeo,kinyume chake atapotea!
Chukua hata hatua ya kumtoa out ili kuzungumzia na kuliweka sawa jambo hili,nadhani atafika mahali atakuelewa tu!Wewe ndiyo mwelekezaji wa ndoa yako!
Nikutakie mafanikio katika kuiongoza ndoa yako na kuepusha na masahibu ya kununiana!!!
(My views!)
 


unajua manuu,hawa wake zetu ndivyo walivyo,
wengi wao wana vitabia vya kudeka namna hiyo,
usijelipiza kisasi kwenye mapenzi,
ni mbaya sana kwani madhara yake ni makubwa,
wewe mvumilie tu kwani utapungukiwa nini,
jishushe, kisha msikilize anataka nini, kama ni kubembelezwa basi jitahidi ufanye hivyo,
unajua wakati mwingine ukileta sana ubabe, na uanaume mambo mengi huwa hayaendi,
na utajikuta unafichwa mambo mengi bila kujua ndani ya nyumba!
 


good assumption!
 
<p>
Mh,huyo kuna jamaa anamlisha huko na kahitaji hela ndo mbinu ya kuzipata hiyo!</p>
<p>Ukimruhusu tu utasikia anakwambia kaibiwa
</p>
<p>&nbsp;</p>

Speaker hilo neno, au Kama sivyo ana buzi ameshalichuna hiyo hela ndio anataka kununulia hivyo vitu sasa ili wewe usimind ndio anajidai anataka kuchukua mkopo usio na riba kazini, fungua macho baba wanawake ni wajanja balaaa
 
Umechumbiwa?
 
Nimejaribu kumchunia hadi sasa nahisi kama vile naanza kumchukia

........una lako jambo wewe, yaani kumbembeleza mkeo unaona shida hadi unaamua kumchukia.Wanaume wengine bana.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…