Hivi ndio ndoa zilivyo?

<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

nikwambie kitu maanuu huyo mkeo anataka kukutawala ukimwendekeza tuu umekwisha iko siku atakwambia deki, kosha vyombo, fua na ukimaliza upike yeye anatoka ukikataa tuu anakununia kwa vile anajua unaogopa kununiwa,

sasa nakupa ushauri wakiume kwakifupi tuu mwmbie hivi, 'SITAKI KUONA KITU KIPYA KIMEINGIZWA NDANI KWANGU' Kama nikununa mwache anune hadi apasuke ili ajue wewe sio wakupelekwapelekwa. sawa?
 

hii kesi inahitaji kujua kwanza, waifu wako alikushauri mambo mangapi before na ulimkubalia mangapi?

possibility ya 1: inawezekana ameona kila analokushauri unampinga
possibility ya 2: inawezekana mke wako anapenda uhead master.
ukweli mnaujua nyinyi.

solution ya 1: kama unampinga mke wako kila kitu anachokushauri hiyo tabia acha mara moja
solution ya 2: kama ni kiburi cha mke wako basi hakuna kuulea huu uzembe kwa kubembeleza.

----THE END----
 
Reactions: Mbu
Nimejaribu kumchunia hadi sasa nahisi kama vile naanza kumchukia

wanasema kamba hukatikia pembamba. Sasa hapo ndipo wembamba ulipo. Angalia hiyo kamba ina umuhimu gani na imeshikilia/fungia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…