Hivi ndivyo Africa inavyoonekana huku kwa hawa wenzetu

Hivi ndivyo Africa inavyoonekana huku kwa hawa wenzetu

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
200
67251_435917296332_688601332_5746728_7377395_n.jpg

Is this fair au ni kweli hence tusilalamike?
 
Wapi kwanza?
Kama ni nchi za Magharibi ni sahihi maana wao ndiyo wanatengeneza hizo silaha na kuuza kwa waafrika wauwane...Lolz!
 
View attachment 15027

Is this fair au ni kweli hence tusilalamike?

Ni kweli, tuwalalamikie viongozi mafisadi wenye uchu wa kujimilikisha nchi na kufilisi walalahoi. Na bongo tutafumuana hv karibuni kama hawa wajingawajinga hawatarudisha nchi yetu mikononi mwetu!!
 
Back
Top Bottom