Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe show ilikuwa ya sauti sol maana uwo ni wimbo waoDaah aisee, namkubali sana Diamond lakin kwa hili naomba nisiwe mnafiki Saut soul na Kiba waliua
Mbona aliimba wimbo wa wengne cyo wakeDai domo bado kazi anayo kwenye live show. Watu hatukulipa pesa zetu kuja kuona anavocheza. Ni uwizi mtupu
Ni kweli Kiba aliimba na sauti Sol. Lakini performance yao ilikuwa the best ukilinganisha na yule dansa wa tandaleMbona aliimba wimbo wa wengne cyo wake
Hujanijibu swali kwa nn hakuimba wimbo wake au aliogopa audience akaomba back up kutoka sauti SolNi kweli Kiba aliimba na sauti Sol. Lakini performance yao ilikuwa the best ukilinganisha na yule dansa wa tandale
Hujanijibu swali kwa nn hakuimba wimbo wake au aliogopa audience akaomba back up kutoka sauti Sol
Hajaonyesha ubora wake angeimba wimbo wake
Alialikwa kupafomu lkn cha ajabu akapafom wimbo wa watu wengne na back up juu jamaa muoga sanaAli kiba hakuwa kwenye kinyang'anyiro chochote as single artist