Hivi ndivyo alivyokuwa Sheikh Ahmed Haidar

Hivi ndivyo alivyokuwa Sheikh Ahmed Haidar

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
HIVI NDIVYO ALIVYOKUWA SHEIKH AHMED HAIDAR

Picha inasema maneno elfu moja.

Jicho la camera halisahau kile jicho la binadamu liliona.

Angalia picha hiyo hapo chini Sheikh Ahmed Haidar amekaa chini sakafuni anazungumza na aliyepata kuwa mwanafunzi wake, Mwalimu Hussein.

Hivi ndivyo alivyokuwa Sheikh Ahmed Haidar.

Maneno hayo hapo chini kaniandikia mwanazuoni mmoja baada ya kusoma taazia niliyomwandikia Sheikh Ahmed Haidar:

"Assalaam Alaykum Kaka,

Tunakushukuru kwa kazi hii ambayo huenda ikawa sababu ya Mwenyeezi Mungu kutusamehe kwa dhuluma tuliyomfanyia mwanachuoni huyu.

Mwanachuoni huyu amedhulumiwa heshima na hadhi yake.

Mwenyeezi Mungu Atusamehe.

Allaah Amrehemu na Amruzuku pepo.

ALLAAHUMMA AAAMIIIN."

Image may contain: 1 person, sitting and outdoor
 
Umesema "Mwenyezi Mungu "atusamehe"!!!

Hiyo ni Amri....weye nani mpaka utoe amri kwa huyo Mungu nae mjua mie! yapata miaka 20 ilopita??

Kwa Mungu weye Binaadamu unaomba kwa unyenyekevu mkubwa km hivi;

Ikimpendeza Mnyaazi Mungu subbhana wataala!! Mwingi wa rehma zile!! Kubwa!! kubwa na ndogo! ndogo! atusamehe sisi waja wake km alivo...... Hapo ina swiii !! Sasa ysko hiyo shekhe!! Weye walazimisha weye!!
 
Back
Top Bottom