Hivi ndivyo ambavyo Polisi wanavyoshirikishwa utapeli bila Polisi kujua kuwa wametumika

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
JIHADHARI NA WIZI HUU MPYA

Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.

Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane (800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini (70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako.

Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi IMEI number ya simu hiyo sehemu.

Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani. Huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.

Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa niTshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne)

Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.

Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.

Ikipatikana biashara inaanza. Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.

Nalishauri Jeshi la Polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.

Ndugu zangu wanachama wa group hili msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni Imei number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo. Au mwambie muandikishiane kituo cha polisi popote mlipo kubali kuwapa elfu 10 askar ya ushaidi.

Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.

Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.

Tunaitajika kuwa makini

washirikishe na wengine
 
Asee umenikumbusha niliuziwa simu 40000 na jamaa yangu kbs wa kitaa baada ya siku tatu akaja mwanajeshi kuiomba simu nilimpatia fasta uzuri alikuwa mpole akanisimulia kila kitu namna dada yake alivyoibiwa na yule jamaangu.
 
Ujina na upumbavu ni kununua kifaa chochote cha electronics mkoni kwa mtu badala ya dukani.

Kama utabunua mkononi mwa mtu hakikisha mnafahamiana nae na anakupatia tisiti zote alizonunulia kifaa hicho vinginevyo sheria lazima ikate upande wako.

JIHADHARI NA WIZI HUU MPYA

Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.

Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane (800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini (70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako.

Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi IMEI number ya simu hiyo sehemu.

Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani. Huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.

Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa niTshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne)

Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.

Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.

Ikipatikana biashara inaanza. Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.

Nalishauri Jeshi la Polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.

Ndugu zangu wanachama wa group hili msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni Imei number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo. Au mwambie muandikishiane kituo cha polisi popote mlipo kubali kuwapa elfu 10 askar ya ushaidi.

Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.

Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.

Tunaitajika kuwa makini

washirikishe na wengine
 
Ujina na upumbavu ni kununua kifaa chochote cha electronics mkoni kwa mtu badala ya dukani.

Kama utabunua mkononi mwa mtu hakikisha mnafahamiana nae na anakupatia tisiti zote alizonunulia kifaa hicho vinginevyo sheria lazima ikate upande wako.
Well said blaza
 
Back
Top Bottom