Poleni wana ManU,nakumbuka kipindi kile na Arsenal yangu,yani mpaka nikienda kuangalia mechi kibanda umiza sivai jezi ya Arsenal,nasuburia wakifunga ndio nashangilia vinginevyo nakaa neutral tu ili nisijulikane...