Hivi ndivyo Bob marley alivyogundua bangi

Asante kwakunifahamisha kuwa kumbe Bob Marley ndio mgunduzi wa bange
Na wewe umeamini kabisa kuwa bob ndiye mgunduzi wa bangi?
Mmea umeanza vutwa tangu na tangu watu wanakula mmea enzi hata gari hazijavumbuliwa
 
Katika mapinduzi ya tiba kabla ya Waarabu Kihindi's cocaine kwa matumizi ya anaesthesia Wahindi walitumia pombe na bangi kumlewesha mgonjwa kabla ya upasuaji kufanyika. Hiyo ni miaka mingi BC
 
Jukwaa pekee ambalo lina mambo sirias ni jukwaa la mambo ya kikubwa tu, huku kwengine ni komedi, masikhara na uongo wa wazi wazi.

Ishakua shida.
Sifa za jukwaa la wakubwa ni zipi..nalisikia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…