The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Kupona kupo mkuu hasa kwa wenye umri wa under 40 kwasababu miili yao ina pathogens za kutosha zenye ujazo kamili wa photosynthesis ambayo ina mudu kikamilifu mapigo na mikiki ya korono.sasa katika hali kama hiyo kwa nini tunataarifiwa pia wanapona wanaponaje sasa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupona au kutopona inategemeana na uimara wa kinga yako ya mwili (leucocytes).sasa katika hali kama hiyo kwa nini tunataarifiwa pia wanapona wanaponaje sasa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wametupa layoff ya one month ikiwezekana wataextend to 90 days. Hii nisiku ya tano sijatoka nje. Nimejaza stock ya wiki mbili ya msosi, vinywaji sigara na kitu cha arusha.Rudi nyumbani tukupe shamba la mihogo ulime inaonyesha huko huna kazi ya kufanya.
Daaah Yaan hapa hizo Nondo ulizoshusha utakuta wazee wamekaa wanakusikiliza kwa makini kumbe Pumba tupu..Kupona kupo mkuu hasa kwa wenye umri wa under 40 kwasababu miili yao ina pathogens za kutosha zenye ujazo kamili wa photosynthesis ambayo ina mudu kikamilifu mapigo na mikiki ya korono.
Haswaa nimekua kinyume na watu wanao tisha watu kwa kipind hiki ona sasa huyu kaandika nn et meno hahaha yaanBaba jesca tusitishane, sasa wewe kwa nini unatutisha?