Uchaguzi 2020 Hivi ndivyo Daniel Naftali alivyorejesha fomu ya kuomba Ubunge Kwela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Daniel Naftali alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la KWELA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Daniel Naftali.

Huyu kijana alinyang'anywa ubunge 2015 kwa mtutu wa bunduki. Kila mwananchi wa jimbo lake anafahamu kwamba alishinda kwa kishindo, bali ulifanyika uchakachuaji wa kishamba sana, wengi waliosimamia uchakachuaji ule wamekufa kwa kupigwa na radi kutokana na laana ya Mungu aliye hai.

Labda kwa kukumbusha, huyu ndio kijana aliyehamasisha kundi la kumshawishi Mh Mbowe (MWAMBA TUVUSHE) kugombea tena Uenyekiti wa Chadema, na alihakikisha Mh Mbowe anachukuliwa fomu na kupelekewa nyumbani kwake na kuijaza.
 
Erythrocyte,

Naona bodaboda sita hapo,hakuna wa kumshawisi mbowe awe mwenyekiti ni uamuzi wake mwenyewe kuwa mwenyekiti wa kudumu hayo mengine ni kiini macho eti huyu ndio Alie mshawishi agombee uenyekiti,wakumpinga mbowe au kumzuia Ni Nani kwa mfano.
 
Naona bodaboda sita hapo,hakuna wa kumshawisi mbowe awe mwenyekiti ni uamuzi wake mwenyewe kuwa mwenyekiti wa kudumu hayo mengine ni kiini macho eti huyu ndio Alie mshawishi agombee uenyekiti,wakumpinga mbowe au kumzuia Ni Nani kwa mfano
Mbona Mwambe alikuwepo ?
 
Jimbo la Kwela liko mkoa gani hilo?
 
Hawa ndiyo vijana wataokilinda chama!!
 
Kamati ya ufundi ya huyu bwana inatakiwa iwe ya kitaifa! Hakuna namna radi ndiyo litakuwa suluhisho kwa manyanyaso wanayopata Wapinzani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…